Biblia inasema nini kuhusu Ramesesi – Mistari yote ya Biblia kuhusu Ramesesi

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ramesesi

Mwanzo 47 : 11
11 ⑤ Yusufu akawakalisha babaye na nduguze, na kuwapa milki katika nchi ya Misri, katika mahali pazuri pa nchi, katika nchi ya Ramesesi, kama Farao alivyoamuru.

Kutoka 1 : 11
11 Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.

Kutoka 12 : 37
37 ⑰ Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi, walipata hesabu yao kama watu elfu mia sita wanaume waliokwenda kwa miguu, bila kuhesabu watoto.

Hesabu 33 : 3
3 Wakasafiri kutoka Ramesesi mwezi wa kwanza, siku ya kumi na tano ya mwezi wa kwanza; siku ya pili baada ya Pasaka, wana wa Israeli wakatoka kwa uhodari mkubwa mbele ya macho ya Wamisri wote,

Hesabu 33 : 5
5 Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi, wakapiga kambi katika Sukothi.

Kutoka 1 : 11
11 Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *