Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Potelea mbali
Kutoka 23 : 4
4 Ukimwona ng’ombe wa adui wako, au punda wake, amepotea, sharti umrudishie mwenyewe tena.
Kumbukumbu la Torati 22 : 3
3 Tena fanya vivyo hivyo kwa punda wake; tena fanya vivyo hivyo kwa mavazi yake; tena fanya vivyo hivyo kwa kila kitu kilichopotea cha nduguyo, kilichompotea ukakiona wewe; usijifiche kama usiyekiona.
Leave a Reply