Biblia inasema nini kuhusu Plasta – Mistari yote ya Biblia kuhusu Plasta

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Plasta

Mambo ya Walawi 14 : 43
43 Na kama hilo pigo likirudi tena, na kutokea ndani ya nyumba, baada ya yeye kuyatoa hayo mawe, na baada ya kuikwangua nyumba, na baada ya kupakwa chokaa,

Mambo ya Walawi 14 : 48
48 Kisha kuhani akiingia ndani kukagua na kuona kuwa pigo halikuenea katika hiyo nyumba baada ya nyumba kupakwa chokaa; ndipo kuhani atatangaza kuwa nyumba hiyo ni safi, maana pigo limepoa.

Kumbukumbu la Torati 27 : 2
2 ① Na iwe, siku mtakayovuka Yordani kwenda nchi akupayo BWANA, Mungu wako, ujisimamishie mawe makubwa, ukayatalize matalizo,

Danieli 5 : 5
5 ⑧ Saa iyo hiyo vikatokea vidole vya mkono wa mwanadamu, vikaandika katika chokaa ya ukuta wa nyumba ya enzi ya mfalme, mahali palipokielekea kinara; naye mfalme akakiona kiganja cha ule mkono ulioandika.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *