Biblia inasema nini kuhusu Pi-Hahiroth – Mistari yote ya Biblia kuhusu Pi-Hahiroth

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Pi-Hahiroth

Kutoka 14 : 2
2 Waambie wana wa Israeli, kwamba warudi na kupiga kambi yao mbele ya Pi-hahirothi, kati ya Migdoli na bahari, kukabili Baal-sefoni; mtapanga mbele yake karibu na bahari.

Kutoka 14 : 9
9 ② Wamisri wakafuata nyuma yao, farasi wote na magari yote ya Farao, na askari zake wenye kupanda farasi, na jeshi lake, nao wakawapata wakiwa wamepanga pale karibu na bahari, karibu na Pi-hahirothi, kukabili Baal-sefoni.

Hesabu 33 : 8
8 Wakasafiri kutoka hapo mbele ya Hahirothi, wakapita katikati ya bahari na kuingia jangwani; kisha wakaenda safari ya siku tatu katika nyika ya Ethamu, wakapiga kambi Mara.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *