Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Perga
Matendo 13 : 14
14 Lakini wao wakatoka Perge, wakapita kati ya nchi, wakafika Antiokia, mji wa Pisidia, wakaingia katika sinagogi siku ya sabato, wakaketi.
Matendo 14 : 25
25 Na baada ya kuhubiri lile neno katika Perge wakateremka mpaka Atalia.
Leave a Reply