Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Peleg
Mwanzo 10 : 25
25 ⑯ Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.
Mwanzo 11 : 19
19 Pelegi akaishi baada ya kumzaa Reu miaka mia mbili na tisa, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 19
19 Na Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza aliitwa Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye aliitwa Yoktani.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 25
25 na Eberi, na Pelegi, na Reu;
Leave a Reply