Biblia inasema nini kuhusu Ornan – Mistari yote ya Biblia kuhusu Ornan

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ornan

1 Mambo ya Nyakati 21 : 25
25 ① Basi Daudi akampimia Arauna thamani ya mahali pale shekeli mia sita za dhahabu kwa uzani

1 Mambo ya Nyakati 21 : 28
28 Wakati huo, Daudi alipoona ya kwamba BWANA amemwitikia katika kiwanja cha Arauna, Myebusi, ndipo alipotoa dhabihu huko.

2 Mambo ya Nyakati 3 : 1
1 ③ Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye alipotengeza mahali pale alipoagiza Daudi, katika kiwanja cha kupuria cha Arauna[6] Myebusi.

2 Samweli 24 : 25
25 ⑪ Naye Daudi akamjengea BWANA madhabahu huko, akatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Basi BWANA aliiridhia nchi, na tauni ikazuiliwa katika Israeli.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *