Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ohola
Ezekieli 23 : 5
5 ⑰ Na Ohola alifanya mambo ya kikahaba alipokuwa wangu; naye alipenda mno wapenzi wake, Waashuri, jirani zake,
Ezekieli 23 : 36
36 Tena BWANA akaniambia, Mwanadamu, utawahukumu Ohola na Oholiba? Basi watangazie matendo yao maovu.
Ezekieli 23 : 44
44 Wakamwingilia kama watu wamwingiliavyo kahaba; ndivyo walivyowaingilia Ohola na Oholiba, wanawake wale waasherati.
Leave a Reply