Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Niger
Matendo 13 : 1
1 ② Na huko Antiokia katika kanisa lililokuwako palikuwa na manabii na waalimu, nao ni Barnaba, na Simeoni aitwaye Nigeri,[2] na Lukio Mkirene, na Manaeni aliyekuwa ndugu wa kulelewa wa mfalme Herode, na Sauli.
Leave a Reply