Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Neno
Yohana 1 : 1
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1 : 14
14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
1 Yohana 5 : 7
7 Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.
Leave a Reply