Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Nehushta
2 Wafalme 24 : 6
6 Yehoyakimu akalala na babaze; na mwanawe Yekonia[15] akatawala mahali pake.
2 Wafalme 24 : 8
8 Yekonia alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Nehushta binti Elnathani wa Yerusalemu.
Leave a Reply