Biblia inasema nini kuhusu Nebayothi โ€“ Mistari yote ya Biblia kuhusu Nebayothi

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Nebayothi

Mwanzo 25 : 13
13 Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,

Mwanzo 28 : 9
9 โ‘ฅ Basi Esau akaenda kwa Ishmaeli akamtwaa Mahalathi, binti Ishmaeli mwana wa Abrahamu, ndugu wa Nebayothi, kuwa mkewe pamoja na wakeze aliokuwa nao.

Mwanzo 36 : 3
3 na Basemathi, binti Ishmaeli, nduguye Nebayothi.

1 Mambo ya Nyakati 1 : 29
29 Hivi ndivyo vizazi vyao; mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Nebayothi; kisha Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu;

Isaya 60 : 7
7 โ‘ฒ Makundi yote ya Kedari yatakusanyika kwako, Kondoo dume wa Nebayothi watakutumikia; Watapanda juu ya madhabahu yangu kwa kibali, Nami nitaitukuza nyumba ya utukufu wangu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *