Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ndoo
Hesabu 24 : 7
7 ⑰ Maji yatatiririka kutoka ndoo zake,[37] Na mbegu zake zitakuwa katika maji mengi. Na mfalme wake ataadhimishwa kuliko Agagi, Na ufalme wake utatukuzwa.
Isaya 40 : 15
15 Tazama, mataifa ni kama tone la maji katika ndoo, huhesabiwa kuwa kama mavumbi membamba katika mizani; tazama, yeye huvinyanyua visiwa kama ni kitu kidogo sana.
Leave a Reply