Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia ndege wanaoruka
Mathayo 6 : 26
26 ⑥ Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kuliko hao?
Ayubu 38 : 41
41 ⑪ Ni nani anayempatia kunguru chakula, Makinda yake wanapomlilia Mungu, Na kutangatanga kwa kutindikiwa na chakula?
Leave a Reply