Biblia inasema nini kuhusu Naioth – Mistari yote ya Biblia kuhusu Naioth

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Naioth

1 Samweli 19 : 19
19 Naye Sauli akaambiwa, Angalia, yule Daudi yuko katika Nayothi, huko Rama.

1 Samweli 19 : 22
22 Kisha yeye mwenyewe akaenda Rama, akafika kwenye kile kisima kikubwa kilicho huko Seku; akauliza, akasema, Je! Wako wapi Samweli na Daudi? Na mtu mmoja akajibu, Tazama, wako Nayothi, huko Rama.

1 Samweli 20 : 1
1 Kisha Daudi akatoka Nayothi huko Rama, akakimbia, akaenda kwa Yonathani, akasema mbele yake, Nimefanya nini? Uovu wangu ni nini? Dhambi yangu mbele ya baba yako ni nini, hata akaitaka roho yangu?

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *