Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Naibu
1 Wafalme 22 : 47
47 Wala hapakuwa na mfalme katika Edomu; naibu alikuwa ndiye mfalme.
Matendo 13 : 8
8 ⑦ Lakini Elima, yule mchawi (maana ndiyo tafsiri ya jina lake), akashindana nao, akitaka kumtia yule mtawala moyo wa kuiacha ile imani.
Matendo 18 : 12
12 Hata Galio alipokuwa mtawala wa Akaya, Wayahudi wakamwinukia Paulo kwa nia moja, wakamleta mbele ya kiti cha hukumu,
Matendo 19 : 38
38 Basi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja naye wana neno juu ya mtu yeyote, baraza ziko, na watawala wako; na washitakiane.
Leave a Reply