Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia nafasi
Mhubiri 9 : 11
11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
Mithali 16 : 33
33 Kura hutupwa katika mikunjo ya nguo; Lakini hukumu zake zote ni za BWANA.
Leave a Reply