Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Mwewe
Mambo ya Walawi 11 : 16
16 na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake;
Kumbukumbu la Torati 14 : 15
15 na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake;
Ayubu 39 : 26
26 Je! Mwewe huruka juu kwa akili zako, Na kuyanyosha mabawa yake kwenda kusini?
Leave a Reply