Biblia inasema nini kuhusu mto wa Nile – Mistari yote ya Biblia kuhusu mto wa Nile

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia mto wa Nile

Isaya 19 : 5 – 8
5 Na maji ya baharini yatapunguka, na huo mto utakauka na kuwa pakavu.
6 ① Na vijito vya mto vitatoa uvundo, na mifereji ya Misri itakuwa haina maji mengi, itakauka; manyasi na mianzi itanyauka.
7 Vitu vimeavyo karibu na Nile, katika ukingo wa Nile, na vyote vilivyopandwa karibu na Nile vitakauka na kuondolewa na kutoweka.
8 Na wavuvi wataugua, na wote wavuao kwa ndoana watahuzunika, nao watandao jarife juu ya maji watazimia.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *