Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Mti wa Mulberry
2 Samweli 5 : 24
24 Kisha itakuwa, hapo utakapoisikia sauti ya kwenda katika vilele vya miforsadi, ndipo nawe ujitahidi; kwa maana ndipo BWANA ametoka mbele yako awapige jeshi la Wafilisti.
Zaburi 84 : 6
6 Wapitapo katika bonde la baraka, Hulifanya kuwa chemchemi, Naam, mvua ya vuli hulijaza baraka.
Leave a Reply