Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Msafishaji
1 Wafalme 4 : 19
19 ⑮ Geberi mwana wa Uri, katika nchi ya Gileadi, nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori, na Ogu mfalme wa Bashani; naye alikuwa mkuu pekee katika nchi hiyo.
1 Wafalme 4 : 27
27 Na maofisa wale wakaleta chakula kwa mfalme Sulemani na kwa wote walioijia meza ya mfalme Sulemani, kila mtu katika mwezi wake, kisipunguke kitu.
Leave a Reply