Biblia inasema nini kuhusu Moreh – Mistari yote ya Biblia kuhusu Moreh

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Moreh

Mwanzo 12 : 6
6 Abramu akapita katikati ya nchi mpaka mahali patakatifu pa Shekemu; mpaka mwaloni wa More. Na Wakanaani siku zile walikaa katika nchi hiyo.

Kumbukumbu la Torati 11 : 30
30 Je! Haiwi ng’ambo ya Yordani? Nyuma ya njia ya machweo ya jua, katika nchi ya Wakanaani waishio katika Araba kuelekea Gilgali, kando ya hiyo mialoni ya More?

Waamuzi 7 : 1
1 ① Kisha Yerubaali, yaani Gideoni, na watu wote waliokuwa pamoja naye wakaondoka asubuhi na mapema, wakapiga kambi yao karibu na kijito cha Harodi; na kambi ya Midiani ilikuwa upande wao wa kaskazini, karibu na mlima wa More, bondeni.

Waamuzi 7 : 12
12 ⑧ Nao Wamidiani na Waamaleki na, hao wana wa mashariki walikuwa wametua bondeni, mfano wa nzige kwa wingi; na ngamia wao walikuwa hawana hesabu; mfano wa mchanga wa ufuoni, kwa wingi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *