Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Mizzah
Mwanzo 36 : 13
13 Na hawa ni wana wa Reueli: Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Mwanzo 36 : 17
17 Na hawa ni wana wa Reueli, mwanawe Esau; jumbe Nahathi, jumbe Zera, jumbe Shama, jumbe Miza. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Reueli katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Basemathi, mkewe Esau.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 37
37 Wana wa Reueli; Nahathi, na Zera, na Shama, na Miza.
Leave a Reply