Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Minni
Yeremia 51 : 27
27 ⑲ Itwekeni bendera katika nchi, pigeni tarumbeta kati ya mataifa, yawekeni mataifa tayari juu yake; ziiteni juu yake falme za Ararati, na Mini, na Ashkenazi; agizeni jemadari juu yake; wapandisheni farasi, kama tunutu.
Leave a Reply