Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Mfarakano
1 Wakorintho 1 : 13
13 Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulubiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?
1 Wakorintho 3 : 4
4 ⑮ Maana hapo mtu mmoja asemapo, Mimi ni wa Paulo; na mwingine, Mimi ni wa Apolo, je! Ninyi si wanadamu?
1 Wakorintho 11 : 19
19 ⑬ kwa maana lazima kuwapo na uzushi kwenu, ili waliokubaliwa wawe dhahiri kwenu.
Leave a Reply