Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Meshezabeli
Nehemia 3 : 4
4 Na baada yao akaijenga Meremothi, mwana wa Uria, mwana wa Hakosi. Na baada yao akafanyiza Meshulamu, mwana wa Berekia, mwana wa Meshezabeli. Na baada yao akafanyiza Sadoki, mwana wa Baana.
Nehemia 10 : 21
21 Meshezabeli, Sadoki, Yadua;
Nehemia 11 : 24
24 ③ Na Pethahia, mwana wa Meshezabeli, wa wana wa Zera, mwana wa Yuda, alikuwa wakili wa mfalme kwa habari ya mambo yote ya watu.
Leave a Reply