Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Meshelemia
1 Mambo ya Nyakati 9 : 21
21 Zekaria, mwana wa Meshelemia, alikuwa bawabu mlangoni pa ile hema ya kukutania.
1 Mambo ya Nyakati 26 : 2
2 Naye Meshelemia alikuwa na wana; Zekaria mzaliwa wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne;
1 Mambo ya Nyakati 26 : 9
9 Naye Meshelemia alikuwa na wana na nduguze, watu mashujaa, kumi na wanane.
Leave a Reply