Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Mesha
2 Wafalme 3 : 5
5 ④ Lakini ikawa, Ahabu alipokufa, mfalme wa Moabu akamwasi mfalme wa Israeli.
1 Mambo ya Nyakati 2 : 42
42 Na wana wa Kalebu, nduguye Yerameeli, walikuwa Mesha, mzaliwa wake wa kwanza, aliyekuwa babaye Zifu; na wana wa Maresha, babaye Hebroni.
Mwanzo 10 : 30
30 Makao yao yalikuwa kutoka Mesha kwa njia ya Sefari, mlima wa mashariki.
1 Mambo ya Nyakati 8 : 9
9 Akazaliwa na Hodeshi, mkewe; Yobabu, na Sibia, na Mesha, na Malkamu;
Leave a Reply