Biblia inasema nini kuhusu Merabu – Mistari yote ya Biblia kuhusu Merabu

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Merabu

1 Samweli 14 : 49
49 ③ Basi, wana wa Sauli walikuwa ni hawa, Yonathani, na Ishvi, na Malkishua; na majina ya binti zake wawili yalikuwa haya; jina lake wa kwanza aliitwa Merabu, na jina lake mdogo aliitwa Mikali;

1 Samweli 18 : 18
18 Naye Daudi akamwambia Sauli, Mimi ni nani, na jamaa zangu ni akina nani, au mbari ya babangu, katika Israeli, hata mimi niwe mkwewe mfalme?

1 Samweli 18 : 19
19 Lakini ikawa, wakati ule, ilipopasa Daudi apewe Merabu, binti Sauli, aliolewa na Adrieli, Mmeholathi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *