Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia mduara
Isaya 40 : 22
22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;
Mithali 8 : 27
27 Alipozithibitisha mbingu nilikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;
Leave a Reply