Biblia inasema nini kuhusu mauaji – Mistari yote ya Biblia kuhusu mauaji

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia mauaji

Waamuzi 3 : 20 – 24
20 Basi Ehudi akamwendea; naye alikuwa anaketi peke yake katika chumba chake cha baridi. Ehudi akasema, “Nina ujumbe wako kutoka kwa Mungu”. Basi akainuka katika kiti chake.
21 Ehudi akaunyosha mkono wake wa kushoto, akaushika huo upanga kuutoa hapo katika paja lake la kulia, akamtia tumboni mwake;
22 hicho kipini nacho kikaingia ndani pamoja na huo upanga wenyewe; nayo mafuta yakashikamana tena juu ya upanga, kwani hakuutoa tena upanga tumboni; nao ukatokea kwa nyuma.[2]
23 Ndipo Ehudi akatoka nje barazani,[3] akamfungia milango ya hicho chumba na kuifunga kwa ufunguo.
24 Basi alipokuwa amekwisha toka nje, hao watumishi wake wakaenda; wakaona, na tazama, hiyo milango ya chumba ilikuwa imefungwa kwa ufunguo; nao wakasema, Hapana budi ameenda haja[4] ndani ya chumba cha baridi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *