Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia matibabu ya utasa
Yeremia 29 : 11
11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za baadaye.
Zaburi 113 : 9
9 Humweka nyumbani mwanamke aliye tasa, Awe mama ya watoto mwenye furaha.
Leave a Reply