Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Masadukayo
Mathayo 3 : 9
9 ⑧ wala msiwaze mioyoni mwenu kwamba, Tunaye baba, ndiye Abrahamu; kwa maana nawaambia ya kwamba Mungu aweza katika mawe haya kumwinulia Abrahamu watoto.
Luka 3 : 9
9 ① Na sasa hivi shoka limekwisha kuwekwa kwenye mashina ya miti; basi kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni.
Mathayo 22 : 34
34 Na Mafarisayo waliposikia ya kwamba amewafumba kinywa wale Masadukayo, walifanya shauri pamoja.
Marko 12 : 27
27 Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. Hivyo mwapotea sana.
Luka 20 : 40
40 wala hawakuthubutu kumwuliza neno baada ya hayo.
Matendo 23 : 8
8 Kwa maana Masadukayo husema ya kwamba hakuna kiyama wala malaika wala roho; bali Mafarisayo hukiri yote.
Mathayo 16 : 12
12 ⑪ Ndipo walipofahamu ya kuwa hakuwaambia kujilinda na chachu ya mkate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.
Matendo 4 : 3
3 Wakawakamata, wakawaweka gerezani hadi asubuhi; kwa kuwa imekwisha kuwa jioni.
Matendo 5 : 33
33 Wao waliposikia wakachomwa mioyo yao; wakapanga kuwaua.
Leave a Reply