Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia mapenzi ya kupotosha
Luka 4 : 5 – 8
5 Akampandisha juu, akamwonesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja.
6 Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa yeyote kama nipendavyo.
7 Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako.
8 ⑳ Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
Leave a Reply