Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Malcham
1 Mambo ya Nyakati 8 : 9
9 Akazaliwa na Hodeshi, mkewe; Yobabu, na Sibia, na Mesha, na Malkamu;
Sefania 1 : 5
5 na wale walisujudiao jeshi la mbinguni juu ya madari ya nyumba; na hao waabuduo, waapao kwa BWANA na kuapa pia kwa Milkomu;
Leave a Reply