Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia maisha ya nje
Kumbukumbu la Torati 4 : 19
19 โฒ tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbinguni lote pia, ukashawishwa na kuviabudu, na kuvitumikia, ambavyo BWANA, Mungu wako amewagawanyia watu wote chini ya mbingu zote.
Leave a Reply