Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia maisha kwenye sayari nyingine
Mwanzo 6 : 2 โ 4
2 wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wowote waliowachagua.
3 BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni mwili; basi siku zake zitakuwa miaka mia moja na ishirini.
4 Nao Wanefili[2] walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa.
Mwanzo 1 : 1
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
Leave a Reply