Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia mahusiano mapya
Mithali 3 : 5 โ 6
5 โข Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
6 โฃ Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
2 Wakorintho 5 : 17
17 Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama! Yamekuwa mapya.
Leave a Reply