Biblia inasema nini kuhusu Madai – Mistari yote ya Biblia kuhusu Madai

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Madai

Mathayo 5 : 25
25 ⑭ Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa hakimu, na hakimu akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.

Luka 12 : 58
58 ⑳ Maana, unapofuatana na mshitaki wako kwenda kwa mwamuzi, hapo njiani fanya bidii kupatanishwa naye, asije akakuburuta mpaka mbele ya hakimu; yule hakimu akakutia mikononi mwake mwenye kulipiza, na yule mwenye kulipiza akakutupa gerezani.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *