Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Likaonia
Matendo 14 : 21
21 ⑩ Hata walipokwisha kuihubiri Injili katika mji ule, na kupata wanafunzi wengi, wakarejea mpaka Listra na Ikonio na Antiokia,
Matendo 16 : 2
2 Mtu huyo alishuhudiwa vema na ndugu waliokaa Listra na Ikonio.
Leave a Reply