Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Laish
1 Samweli 25 : 44
44 ⑲ Lakini Sauli alikuwa amemposa Mikali, binti yake aliyekuwa mkewe Daudi, kwa Palti, mwana wa Laisha aliyekuwa mtu wa Galimu.
2 Samweli 3 : 15
15 Basi Ishboshethi akatuma watu, akamnyang’anya Paltieli, mwana wa Laisha, mumewe, mwanamke huyo.
Isaya 10 : 30
30 Piga kelele sana, Ee binti Galimu; sikiliza, Ee Laisha; ole wako, maskini Anathothi!
Leave a Reply