Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Lahmi
2 Samweli 21 : 19
19 Kulikuwa na vita tena na Wafilisti huko Gobu; na Elhanani, mwana wa Yairi, Mbethlehemi, alimwua Goliathi, Mgiti, ambaye mpini wa mkuki wake ulikuwa kama mpini wa mfuma nguo
1 Mambo ya Nyakati 20 : 5
5 Kulikuwa na vita tena na Wafilisti; na Elhanani, mwana wa Yairi akamwua Lahmi nduguye Goliathi,[16] Mgiti, ambaye mti wa mkuki wake ulikuwa kama mti wa mfumaji.
Leave a Reply