Biblia inasema nini kuhusu kuwepo kwa mizimu – Mistari yote ya Biblia kuhusu kuwepo kwa mizimu

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kuwepo kwa mizimu

Waefeso 6 : 12
12 ⑧ Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Wakolosai 1 : 16 – 17
16 Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au milki, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
17 Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *