Biblia inasema nini kuhusu kuwaombea wafu – Mistari yote ya Biblia kuhusu kuwaombea wafu

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kuwaombea wafu

Isaya 8 : 19
19 ③ Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong’ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *