Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kuwa na ufanisi
2 Timotheo 2 : 15
15 Jitahidi kujionesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mfanyakazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli.
Mithali 3 : 7
7 โค Usiwe na hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Leave a Reply