Biblia inasema nini kuhusu kuwa na miungu mingine – Mistari yote ya Biblia kuhusu kuwa na miungu mingine

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kuwa na miungu mingine

Kutoka 20 : 3 – 6
3 ⑮ Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 ⑯ Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 ⑰ Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 ⑱ nami nawarehemu maelfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *