Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kuwa na bahati
Mithali 31 : 10
10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani.
Warumi 8 : 28
28 Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
Leave a Reply