Biblia inasema nini kuhusu kuwa mjamzito – Mistari yote ya Biblia kuhusu kuwa mjamzito

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kuwa mjamzito

Isaya 49 : 15
15 Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.

Yeremia 1 : 5
5 Kabla sijakuumba katika tumbo nilikujua, na kabla hujatoka tumboni, nilikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Zaburi 127 : 3
3 Tazama, watoto ni urithi kutoka kwa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu.

Kutoka 20 : 13
13 Usiue.

Zaburi 51 : 5
5 ③ Tazama, nikazaliwa nikiwa na hatia; Mama yangu akanichukua mimba nikiwa na dhambi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *