Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kutoamini Mungu
Zaburi 14 : 1
1 Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Zaburi 53 : 1
1 โฐ Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Ni wafisadi, na wametenda mambo ya kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
Ayubu 12 : 25
25 Wao hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga, Naye huwafanya kupepesuka kama mlevi.
Leave a Reply