Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kuna malaika duniani
Zaburi 91 : 11
11 Kwa kuwa atakuagizia malaika wake Wakulinde katika njia zako zote.
Waraka kwa Waebrania 13 : 2
2 Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.
Waraka kwa Waebrania 1 : 14
14 Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?
Zaburi 104 : 4
4 ⑱ Huwafanya malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa moto wa miali.
Leave a Reply